Monday, September 24, 2018
   
Text Size

Site Search

Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), inapenda kuujulisha umma juu ya kuanza kwa majaribio ya mfumo kamili wa manunuzi ya umma kwa njia ya mtandao.Hii ni kufuatia kukamilika kwa utayarishaji wa mfumo huo iliyoanza zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Mfumo huu, unaojulikana kwa jina la TANePS – yaani “Tanzania National e-Procurement System”, na kupatikana kwenye anwani ya www.taneps.go.tz, unao uwezo wa kuwezesha hatua mbalilmbali za manunuzi kufanyika, kuanzia utayarishaji wa mpango wa manunuzi hadi usimamizi wa mikataba.  

Kupata Taarifa kamili  bofya hapa

Visitors Counter

10516376
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
4694
5766
10460
10459340
143029
204956
10516376

eNewsletters

En cilgin hd porno videolari icin sitemizi ziyaret ediniz.Yerli yabanci escort bodrum kizlari burada