Mafunzo ya sheria ya ununuzi wa umma kwa Wajumbe wa Kamati ya PACTuesday, 02 March 2021 12:07 Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (kulia) pamoja na Makamu Mwenyekiti wa PAC Mhe. Japhet Hasunga (katikati) wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) Mhandisi Leonard S. Kapongo wakati wa mafunzo ya sheria ya ununuzi wa umma kwa Wajumbe wa Kamati hiyo yaliyoendeshwa na PPRA jijini Dodoma Januari, 28, 2021
Read the Full Story
Matumizi ya Taneps yaokoa zaidi ya bilioni 60 za uchaguzi mkuuTuesday, 02 March 2021 11:44 Matumizi ya mfumo wa ununuzi wa umma kwa njia ya mtandao (Taneps) yameiwezesha Serikali kuokoa zaidi ya shilingi bilioni 60 kati ya fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020. Read the Full Story
What's New
Training Calendar for TANePS and PPA (click links below) +